Mpira wa Kilo na Wenzake

KSh250.00

Vijana wanapotoka shuleni hufanya nini? Swali hili linajibiwa vizuri na hadithi Mpira wa Kilo na wenzake. Mara kwa mara, vijana hukutana na kushiriki katika shughuli mbalimbali nzuri na mbaya. Hali hiyo si tofautiti na jinsi ilivyo katika hadithi hii. Michezo huleta vijana pamoja na kuendeleza ushirikiano na utangamano. Jisomee upate maarifa ya michezo yetu. Swaleh Mdoe ni mwandishi mtajika katika hadithi za watoto. Pia ni mtangazi wa taarifa mwenye ujuzi mwingi. Amejenga hadithi kuhusu mchezo waupendao watoto na vijana. Chunga usibaki nyuma.

Category: Tag: